Kiwanja kinauzwa Mkalama, Morogoro (632 sqm)

Maelezo
🔥 KIWANJA KINAUZWA – DODOMA MKALAMA🔥
📍 Location: MKALAMA
📐 Ukubwa:SQM 632
💰 Bei: 28.5mil
📄 Document: Hati Miliki
🚧 Miundombinu: Barabara, Umeme, Maji
📍 Karibu na: UDOM na Lami ya Mkalama
✅Kiwanja ni kizuri kwa Makazi
✅Kiwanja kipo eneo linalokuwa kwa kasi sana
✅Mita 500 hadi lami mpya ya Mkalama
✅Eneo ni tulivu sana
✅Barabara zinazopitika
Piga Simu Twende Site
📞 Wahi sasa: 0658065505
#mkalama #dodomacity #viwanja #realestatedodoma #udom















