Kiwanja kinauzwa Nala Mizani, Dodoma (1570 sqm)
Nala, Dodoma
2 hours ago
Sh. 23,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KIZURI NA KIKUBWA
▪️Kipo Nala Mizani jirani sana na lami
▪️Ukubwa ni sqm 1570
▪️mita 100 mpaka lami ya hosp ya jiji
▪️Huduma zote zipo
▪️Document ni hati ya wizara
*BEI NI MILION 23*
Karibu site boss🤝















