Kiwanja kinauzwa Ntyuka Chinyoyo, Dodoma (1130 sqm)


Ntyuka, Dodoma
3 hours ago
Sh. 70,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
1130 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
•Kiwanja kinauzwa Hapo kwenye mlima unapopaona ⛰️🌄
NTYUKA CHINYOYO📍
•Kikali sanaaa📌
•View nzuri sana kuwahi kutokea😩🔥
•Tuna kisima cha maji pia✅
•Sqm 1130📐
•Milion 70 maongezi yapo
•Kina fance pande 2
•Document ni survey form✅















