Tafuta

Kiwanja kinauzwa Ntyuka Udom, Dodoma (314 sqm)

Ntyuka, Dodoma
2 months ago
Sh. 11,500,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Ntyuka

Ukubwa

314 SQM

Barabara ya Karibu

1km — Mvumi Road

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Shule

Maelezo

🏡 KIWANJA KIZURI KINAUZWA – NTYUKA UDOM, DODOMA 🏡

📍 Mahali: Ntyuka UDOM, Dodoma
📌 Plot Na.: 84
📐 Ukubwa: SQM 314

💰 Bei: TSh Milioni 11.5
🤝 Mazungumzo yapo kidogo sana.

Sifa za Kiwanja

✅ Umbali wa Km 1 kutoka Barabara ya Mvumi (Lami)
✅ Takribani Km 5 tu hadi Dodoma Mjini
✅ Jirani sana na Chuo Kikuu cha UDOM
✅ Umeme upo
✅ Maji yapo
✅ Barabara zinapitika vizuri mwaka mzima
✅ Majirani wamejenga na mazingira ni salama

📄 Nyaraka: Muhamala wa Hati

💼 Kiwanja kinafaa kwa:
🏠 Makazi ya familia
🏢 Apartment za kupangisha
🏪 Biashara au uwekezaji wa baadaye

📞 Mawasiliano:



Karibuni Bupalu Real Estate
“Chaguo Sahihi kwa Mali na Uwekezaji.”

Bupalu Peter mulangwanda

dalali_bupa_tz_dodoma

@dalali_bupa_tz_dodoma

View Listings

Matangazo mengine Ntyuka, Dodoma

Kiwanja kinauzwa Ntyuka, Dodoma (785 sqm)

Sh. 19,000,000

For Sale785 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Ntyuka, Dodoma (785 sqm)

Sh. 19,000,000

For Sale785 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Ntyuka, Dodoma (785 sqm)

Sh. 19,000,000

For Sale785 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Ntyuka, Dodoma (785 sqm)

Sh. 19,000,000

For Sale785 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Chidachi Ntyuka, Dodoma

Sh. 8,000,000

For SaleInstallment
Kiwanja kinauzwa Chidachi Ntyuka, Dodoma

Sh. 8,000,000

For SaleInstallment
Kiwanja kinauzwa Ntyuka Bawani, Dodoma (600 sqm)

Sh. 8,500,000/sqm

For Sale600 sqm
Kiwanja kinauzwa Chidachi Ntyuka, Dodoma (1 sqm)

Sh. 8,000,000

For Sale1 sqmNegotiableInstallment
Kiwanja kinauzwa Ntyuka Bawani, Dodoma (600 sqm)

Sh. 7,000,000/sqm

For Sale600 sqm
Bupalu Peter mulangwanda