Tafuta

Kiwanja kinauzwa Shangarai, Arusha (0.5 acre)

video thumbnail
Shangarai, Arusha
9 hours ago
Sh. 95,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Shangarai

Ukubwa

0.5 ACRE

Barabara ya Karibu

500m

Awali

Inaruhusiwa

Maelezo

šŸ“Œ SHAMBA LA KIPEKEE LINAUZWA - SHANGARAI! 🌳
Je, unatafuta eneo zuri la kuwekeza au kujenga nyumba yako ya ndoto? Tunauza shamba zuri sana lililopo eneo linalokua kwa kasi la Shangarai.
Sifa za Shamba:
Ukubwa: Nusu Heka (1/2 Acre).
Umbali: Nusu Kilomita (500m) tu kutoka Barabara ya Lami.
Eneo: Shangarai (Eneo lenye utulivu na miundombinu bora).
Bei:
šŸ’° TZS 95,000,000
(Bei bado inazungumzika!)
Urahisi wa Malipo:
āœ… Tunakubali LIPA KWA AWAMU (Installments).
Mawasiliano:
Kwa mawasiliano zaidi, kutembelea eneo, au kufanya mazungumzo, tafadhali piga simu sasa:
šŸ“ž 0627 779 772