Tafuta

Kiwanja kinauzwa Tabata Bonyokwa, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 16,000,000

Maelezo

🏑 KIWANJA KINAUZWA – TABATA BONYOKWA

πŸ’° Bei: Milioni 16 Tu
πŸ“ Ukubwa: Square Meta 300

Je, unatafuta fursa ya uwekezaji yenye faida? Hiki ni kiwanja kinachofaa kwa ujenzi wa apartments.

Unaweza kujenga:

* Master pekee
* Master na sebule
* Master, sebule na jiko

πŸ’΅ Kutegemeana na ubora wa finishing, unaweza kupanga nyumba kwa wastani wa TSh 200,000 hadi 400,000 kwa mwezi kwa kila nyumba.

βœ… Kwa bei hii ya kiwanja, utaanza uwekezaji kwa mtaji mdogo na gharama nafuu za ujenzi, hivyo utaweza kurejesha mtaji na kuanza kupata faida kwa haraka.

πŸ“ Eneo: Tabata Bonyokwa
πŸ“ Ukubwa: Square Meta 300
πŸ’° Bei: TSh Milioni 16

πŸ“ž Simu: +255 688 412 890
πŸ’Ό Service Charge: TSh 20,000/=

Wahi sasa! Fursa za aina hii hazidumu.

Dalali Wakishua
Miliki Kesho Yako Leo!!!