Kiwanja kinauzwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam (500 sqm)





Tabata, Dar Es Salaam
25 days ago
Sh. 35,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
500 SQM
Huduma na Sifa
Karibu na Stendi ya Mabasi
Near Public Transport
Maelezo
#Repost dalali_mchina_tabata_kinyerezi
——
Kiwanja kinauzwa bei milion 35, ukubwa wa eneo Square meter 500, kutoka kituoni dakika 8-10 hivi kwa mguu, hapa unaweza jenga nyumba za makazi au apartment n.k, Location tabata kinyerezi dar es salaam
Calls/whatsapp or
Service charge tsh 50000
Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam















