Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (1600 sqm)

video thumbnail
Sh. 90,000,000

Aina

Kiwanja

Ukubwa

1600 SQM

Barabara ya Karibu

1km

Huduma na Sifa

Uzio
Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Stendi ya Mabasi
Karibu na Barabara

Maelezo

🏡 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO (MTS) 📍

Kipo eneo zuri la Tabata Segerea, takribani km 1 kutoka stendi – sehemu tulivu na inayokua kwa kasi.

🔹 Ukubwa: Sqm 1600
🔹 Bei: Milioni 90
🔹 Hali ya umiliki: Kimepimwa (hati bado)
🔹 Eneo lipo ndani ya fence

✅ Inafaa kwa makazi makubwa binafsi
✅ Fursa nzuri kwa uwekezaji wa apartments au biashara
✅ Eneo lina miundombinu inayofikika kirahisi

📞 Muhitaji piga simu uje uone site:
+255688412890

✨ Dalali wako Wakishua.