Viwanja vinauzwa Bagamoyo Kiromo, Pwani (450 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
Je uko na ndoto ya kuwekeza 📍Bagamoyo mji wa kitalii unaokua kwa kasi?
Karibu uwekeze nasi katika mradi wetu mpya uliopo 📍Bagamoyo Kiromo, umbali wa km 1.6 tu kutokea Bagamoyo road.
📌Anza na malipo ya TZS 450,000 tu. Umiliki kiwanja cha ukubwa wa SQM 450.
Wasiliana nasi
📲0675557452















