Tafuta

Viwanja vinauzwa Boko Mnemela, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 20,000/sqm

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Boko

Barabara ya Karibu

9km

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Maelezo

Mungu Ana Watu Wengi @akiba_properties.co.ltd

Nkikutumiw 50,000 Muda Huu, Ni Nani Kwenye Cycle Yako Utampa Na Ni Kwanini? Comments Yenye Likes Nyingi Za Halali Ntaitumia Hiyo Hela Kesho Saa 1 Jioni

Bila Kusahau, JUMAMOSI Hii Tunaenda Site Kukagua Viwanja Boko Mnemela Kibaha Na @akiba_properties.co.ltd
Ni Bure Kabisa
Viwanja Vipo Unalipia Kidogo Kidogo
Ukimaliza HATI NI BURE KabisaπŸ“Œ

Jina La Mradi: BOKO MNEMELA
Wauzaji: @akiba_properties.co.ltd
Mahali: Kibaha, Pwani
Bei: Square Meter 20,000 Tu
Malipo: Cash Au Kidogo Kidogo
Umbali Wa Mradi: Km 9 Kutoka Main Road
Huduma Za Kijamii: Zote Zinapatikana
☎️ 069 911 7035
πŸ“ Ofisi Ipo Mwenge, Dora Tower, Floor Ya 4

Matangazo yanayofanana Boko, Dar es Salaam