Tafuta

Viwanja vinauzwa Buyuni (Mti Mweupe), Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 17,000/sqm

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kigamboni

Barabara ya Karibu

1km

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Karibu na Bichi

Maelezo

New week, new opportunities! ๐ŸŒฟ
Anza wiki yako kwa mtazamo mpya na maamuzi sahihi ya maisha yako ya baadaye. Kila mwanzo wa wiki ni nafasi ya kujipanga upya, kuweka malengo mapya na kuchukua hatua kuelekea mafanikio.
Uwekezaji wa ardhi ni moja ya maamuzi bora unayoweza kufanya leo. Kigamboni Kumenoga ni chaguo sahihi kwa wewe unayetafuta sehemu salama na yenye thamani inayokua kila sikuโ€”anza kidogo kidogo lakini kwa uhakika.
Usikose fursa hii muhimu! Wasiliana nasi leo na chukua hatua ya kumiliki ndoto zako. Maisha bora yanaanza na maamuzi unayofanya sasa. ๐ŸŒฑโœจ ๐Ÿ“ BUYUNI (MTI MWEUPE), Kigamboni โ€“ Dar es Salaam
โœ” Km 2 kutoka Baharini
โœ” Km 1 kutoka Barabara kuu
๐Ÿ’ฐ Bei Maalum:
โ€ข Tsh 17,000 kwa mita ya mraba (Cash)
โ€ข Tsh 19,000 kwa mita ya mraba (Installment)
โœ” Malipo kwa awamu hadi miezi 24 ๐Ÿ“ŒKimbiji kwa Chale ๐Ÿ“ Mita 200 tu kutoka barabara kuu
๐ŸŒŠ Mita 600 kutoka baharini
๐Ÿ’ฐ Bei ni sh 30,000 kwa sqm
โœ… Anza na down payment ya 20% tu
๐Ÿ“† Lipa kidogo kidogo hadi miezi 18 ๐Ÿ“žWasiliana nasi +255 748 303 601

๐Ÿ€Maisha bora huanza na hatua sahihi.๐ŸŒŸ #NewWeek #NewOpportunities #Uwekezaji #LipakidogoKidogo #InvestSmart OwnYourFuture RealEstateTZ DreamBig