Viwanja vinauzwa Chanika Mwisho, Dar Es Salaam (400 sqm)

Chanika, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 1,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
🏢 KARIBU MLEWA REAL ESTATE LTD
Tunafurahi kukutambulisha ofisi zetu zilizopo Chanika Mwisho, karibu na Sheli Mpya ya Puma/Azam Ice Cream, ndani ya Jengo la Chanika City.
Tunatoa Huduma Ya
✅ Viwanja vya Bei Nafuu
✅ Viwanja kuanzia SQM 400
✅ Malipo ya Cash au kwa Awamu
✅ Ushauri wa Uwekezaji wa Ardhi
Bei za viwanja zinaanzia TSh Milioni 1 hadi Milioni 6.
📞 +255 623 656 754 | +255 657 840 010
MLEWA REAL ESTATE
"Hakuna Baba Mwenye Gari Bali Kuna Baba Mwenye Nyumba"










