Tafuta

Viwanja vinauzwa Fanisi City, Kigamboni, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 11,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kigamboni

Ukubwa

300 SQM

Barabara ya Karibu

1km

Huduma na Sifa

Maelezo

๐Ÿก MRADY MPYA WA VIWANJA VINAUZWA โ€“ KIGAMBONI, FANISI CITY ๐Ÿก

Unatafuta kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hii ndiyo fursa yako!

๐Ÿ“ Eneo: Fanisi City, Kigamboni
โœ… Umbali wa kilomita 1 kutoka Mlanda
โœ… Kilomita 12 kutoka Feri
โœ… Kilomita 10 kutoka Daraja la Mwalimu Julius Nyerere

Ukubwa na Bei:

๐Ÿ  SQM 300 โ€“ TZS 11,000,000
๐Ÿ  SQM 400 โ€“ TZS 20,000,000
๐Ÿ  SQM 500 โ€“ TZS 28,000,000

๐Ÿ’ฅ Bei zinajadiliwa (Mazungumzo yapo).

Faida za Viwanja:

โœ”๏ธ Eneo linalokua kwa kasi na linafaa kwa uwekezaji.
โœ”๏ธ Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana, ikiwemo maji, shule na nyinginezo.
โœ”๏ธ Barabara nzuri zinafika hadi kwenye viwanja.
โœ”๏ธ Gari la aina yoyote linafika kwa urahisi hadi site.

Usikose nafasi ya kumiliki kiwanja katika moja ya maeneo yenye ukuaji mkubwa Kigamboni.

๐Ÿ“ž 0769554221

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam