Viwanja vinauzwa Kichangani, Morogoro (400 sqm)


Kichangani, Morogoro
22 days ago
Sh. 40,000/sqm
Aina
Kiwanja
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
2km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Kichangani-kisarawe || ni moja ya Maeneo yaliyojengeka sana na ni karibu kabisa na kibada
➡️km 3 kutokea kibada
➡️km 2 kutokea lami (magengeni)
↕️Sqm kuanzia 400 hadi sqm 700
🔛sqm 1 Ni Tsh 40,000 tu
✅️unaanza na 50% unalipa kidogo kidogo ndani ya miezi 6
Huduma.zote za kijamii zipo
↩️site visit ni kila siku kuanzia jumatatu -jumapili
📍ofisi zetu zipo kibada-conerstone
↘️↘️
Barabara yake inapikika vizuri kipindi cha mvua
#realestate #property #viralreels #viwanjakigamboni


