Tafuta
-
-

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 30,000/sqm

Maelezo

โœจ HELLO MONDAY โœจ
Wiki mpya imefika na fursa mpya zimefunguliwa!
Kila mwanzo wa wiki ni nafasi nyingine ya kufanya maamuzi yatakayobadili maisha yako ya kesho. Leo ndiyo siku sahihi ya kuanza safari ya uwekezaji salama na wa uhakika. ๐Ÿก๐Ÿ’š
Usisubiri mpaka bei zipande au maeneo yajazwe na watu, chukua hatua mapema na anza kujijengea future yako kupitia umiliki wa ardhi.
Kumbuka, uwekezaji bora huanza na maamuzi madogo ya leo.
Mradi
๐Ÿ“ŒKimbiji kwa Chale
๐Ÿ“ Mita 200 tu kutoka barabara kuu
๐ŸŒŠ Mita 600 kutoka baharini
๐Ÿ’ฐ Bei ni sh 30,000 kwa sqm
โœ… Anza na down payment ya 20% tu
๐Ÿ“† Lipa kidogo kidogo hadi miezi 18
๐Ÿ“ BUYUNI (MTI MWEUPE), Kigamboni โ€“ Dar es Salaam
โœ” Km 2 kutoka Baharini
โœ” Km 1 kutoka Barabara kuu
๐Ÿ’ฐ Bei Maalum:
โ€ข Tsh 17,000 kwa mita ya mraba (Cash)
โ€ข Tsh 19,000 kwa mita ya mraba (Installment)
โœ” Malipo kwa awamu hadi miezi 24 Wasiliana nasi:
๐Ÿ“ž+255 748 303 601
Ofisi zipo
๐Ÿ“Makumbusho jengo la Dermplaza floor ya 11
Karibu Trust Solution Company Ltd tuanze pamoja safari ya kutimiza ndoto zako za kumiliki kiwanja chenye thamani inayokua kila siku. ๐ŸŒฑ
#HelloMonday #NewWeekNewEnergy #AnzaKumiliki #TrustSolution #UwekezajiSalama AndaMakazi RealEstateTanzania

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam

Kiwanja kinauzwa Kidete Kibugumo, Kigamboni, Dar Es Salaam (1300 sqm)

Sh. 120,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Kidete Kibugumo, Kigamboni, Dar Es Salaam (1300 sqm)

Sh. 120,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Mwongozo, Dar Es Salaam (4.5 acre)

Sh. 550,000,000

  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Geza Juu, Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 26,000,000

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Gezaulole, Kigamboni, Dar Es Salaam (1500 sqm)

Sh. 120,000,000

  • Uzio

  • Karibu na Barabara

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 5,000,000

  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Buyuni (Mti Mweupe), Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 17,000/sqm

  • Karibu na Bichi

  • Ardhi Iliyopimwa