Viwanja vinauzwa Kigamboni Mwasonga, Dar Es Salaam (400 sqm)





Aina
Kiwanja
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 MRADI MPYA – KIGAMBONI MWASONGA 🔥
Fursa nzuri kwa yeyote anayetamani kumiliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi na lenye makazi tayari.
📍 Mradi upo KM 23 kutoka Ferry
📍 Ni KM 1 tu kutoka barabara kuu
🏘 Eneo tayari limeendelea na majirani wapo wanaishi sio pori.
📐 Ukubwa wa viwanja kuanzia SQM 400 na kuendelea, hivyo unaweza kuchagua ukubwa unaokufaa kwa makazi au uwekezaji.
💰 Bei:
• Tsh 25,000 kwa SQM – Cash
• Tsh 30,000 kwa SQM – Installments
📝 Malipo ni rahisi:
Unaanza na 10% tu, kisha inayobaki unalipa ndani ya miezi 12 bila presha.
Wasiliana Nasi Leo;
☎️Calls/Whatsapp
0747519264




















