Viwanja vinauzwa Kiluvya, Pwani


Kiluvya, Pwani
2 days ago
Sh. 2,500,000
Aina
Kiwanja
Barabara ya Karibu
10minute — Morogoro road
Huduma na Sifa
Maelezo
Wahi Ofa hii sasa!!!
Ni kiluvya kwa masister!
Bei ya viwanja ni Tsh.2,500,000 tu!!
Ni mwendo wa dk 10 tu kufika Morogoro road(usafiri wa bajaji upo muda wote) na dk 20 tu kufika katikati ya jiji la Dar es salaam!(kupanda mabasi ya mwendokasi, daladala au bajaji!
Tunaenda site kila siku!!
N.B Ofa hii itadumu ndani ya mwezi mmoja tu!
Tupigie!
(Whatsapp)















