Viwanja vinauzwa Kitunda Roman Church, Dar Es Salaam





Maelezo
Kitunda -Roman Church eneo lilipo mradi wetu
Ni sehemu tambarare na Huduma zote za kijamii zimeshafika ......... kuna majiran na barabara inapitika vizuri
----
___________________
Dakika 23 kutokea Aiport(uwanja wa ndege wa kimataifa)
Kwa wawekezaji n fursa kujenga Appartment, kwa ajili ya wafanyakazi au Wageni......
Meter 400 kutokea Mainroad🔛
Kwenye Ramani kama inavyojieleza Location n kitunda roman church ... unaweza kwenda site mwenyew kuangalia Mradi au uwasiliane na sisi .....
📍ofisi zetu zinapatikana kibada-conerstone
Jengo la Brina complex
Sqm 1= Tsh 60,000
Viwanja vinaanzia sqm
300,390,400,460,500,540,600 hadi 1000
Malipo ya awamu ni miezi mitatu kianzio n 50%
📞0796042515
#airport #kitundanjiapanda #dar#kigamboni #plotsforsale







