Viwanja vinauzwa Mapinga, Pwani
Mapinga, Pwani
3 hours ago
Sh. 70,000/sqm
Aina
Kiwanja
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
‼️‼️New New New‼️‼️‼️
📍MAPINGA project
📌Unanunua na kuhamia, huitaji kusubiri, huduma zote zipo hadi site
✅Viwanja ni tambarare na ujenzi wake ni rahisi
📌Cash : 70,000/sqm
📌Installment: 72,000/sqm unaanza na nusu ya malipo halafu Nusu unamalizia ndani ya miezi 6, sio lazima ulipe kila mwezi
📌Karibu na barabara kuu na thamani yake tayari ipo juu
🚘Site visit ni kila siku
☎️ /
📍Tupo jengo la IPS , gorofa ya 5, Posta















