Viwanja vinauzwa Mbezi Luguruni, Dar Es Salaam (680 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
VIWANJA VIZURI SANA VINAUZWA MBEZI LUGURUNI
Ukubwa sqm 680,580, 500 NK.
Umbali ni Mita 400 tu kutoka Morogoro road wale wa kutembea kwa mguu dakika 7 tu
Bei Mil. 35 Maongezi fika site
Huduma zote Muhimu zipo hapa
Hapa ujanja nikuwahi kwani haviwezi kukaa kabisa, na ukiwahi utapata nafasi ya kuchagua ukitakacho
Site visit 25,000/=
Piga simu 0711258592















