Tafuta

Viwanja vinauzwa Mgongozo, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000/sqm

Huduma na Sifa

Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Survey And Approval

Maelezo

Kama umekosa hivi baaasi usijione hauna bahati kuna mradi mzuri mno tena bei cheee unakosaje?….

🏡 VIWANJA VINAUZWA – MGONGOZO, KIGAMBONI, DAR ES SALAAM 🌴

Je, unatafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga nyumba au kufanya uwekezaji? Hivi ni viwanja vyenye nafasi nzuri na vinapatikana kwa bei nafuu.

📍 Eneo: Mgongozo, Kigamboni
🛣️ Vinagusa barabara kubwa ya Alame
📏 Umbali wa mita 400–500 kutoka barabara kuu
📑 Vimepimwa na vina Survey & Approval

💰 Bei: TZS 35,000 kwa Square Meter

📐 Ukubwa na Jumla ya Bei:

* ✅ 400 SQM = TZS 14,000,000
* ✅ 500 SQM = TZS 17,500,000
* ✅ 600 SQM = TZS 21,000,000

✅ Unaweza kuchukua kiwanja kimoja, viwili au zaidi kulingana na mahitaji yako.

💵 Service Charge: TZS 30,000 (kwa kuonyesha eneo)

📞 Call/WhatsApp: +255 746 407 197

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidaressalaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidar es salaam ViwanjaVinauzwa Kigamboni Mgongozo DarEsSalaam RealEstateTanzania FYP