Viwanja vinauzwa Mwasonga, Kigamboni, Dar Es Salaam (400 sqm)




Aina
Kiwanja
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
2.5km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
KIGAMBONI MWASONGA
ANZA NA 560,000 tsh TU 🔥🔥🔥
🔑 Sifa za Mradi
👉25km kutoka ferry kivukoni
🔹Umbali wa 2.5km tu kutoka barabara kuu mpaka site.
🔹Barabara nzuri na za kufikika kwa urahisi.
🔹Eneo lenye makazi ya watu tayari.
🔹Mji unaokua kwa kasi na kuongezeka kwa thamani ya ardhi kila siku.
✅ Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu:
💰 Bei
🔹 Malipo ya CASH
• Bei: 23,000/= kwa sqm
• Kiwanja cha sqm 400
400 x 23,000 =9,200,000
• Unaweza kulipa kwa mkupuo au kwa miezi 3:
➡️ 3,066,667 kila mwezi
🔹 Malipo ya INSTALLMENT
• Bei: 28,000/= kwa sqm
• Kiwanja cha sqm 400
400 x 28,000=11,200,000
• unalipa kwa miezi 20 ya awali
•
➡️ 560,000 kila mwezi















