Tafuta

Viwanja vinauzwa Mzenga/Mlandizi, Pwani (709 sqm)

Mlandizi, Pwani
1 month ago
Sh. 4,000,000

Maelezo

VIWANJA 4 ( UKUBWA WA JUMLA SQM.709) TZS.4 MILIONI,MZENGA/MLANDIZI.

Hapa kuna Viwanja 4 vilivyoungana.

Ukubwa: SQM (175,175,180,180)
Unaweza kununua kwa minaajili ya KUUZA tena baadae,
Au kuhodhi vyote kwa kwa Makazi yako.

MUUZAJI ALINUNUA KUTOKA KWENYE MRADI.

Tuhitaji Mnunuzi mmoja kwa vyote,
Au wanunuzi wa pamoja kwa wakati mmoja.

Usafiri Kwa BODA/Daladala kutoka MLANDIZI,
Ni Tzs.4,000.

WAHI UJIOKOTEE.

__________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_________________gldMrso

Matangazo mengine Mlandizi, Pwani

Viwanja vinauzwa Mlandizi, Pwani (402 sqm)

Sh. 8,000/sqm

For Sale402 sqmInstallment
Viwanja vinauzwa Mlandizi, Pwani

Sh. 8,000/sqm

For SaleInstallment
Kiwanja kinauzwa Mlandizi, Pwani (1 acre)

Sh. 16,000,000/acre

For Sale1 acre
Kiwanja kinauzwa Mlandizi, Pwani (527 sqm)

Sh. 100,000,000

For Sale527 sqm