Viwanja vinauzwa Pugu Olympic, Dar Es Salaam (200 sqm)

video thumbnail
Sh. 4,300,000

Aina

Kiwanja

Ukubwa

200 SQM

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Karibu na Stendi ya Mabasi

Maelezo

VIWANJA VINAUZWA – PUGU OLYMPIC

Viwanja vizuri vinauzwa Pugu Olympic, karibu kabisa na barabara ya lami.
Umbali wa dakika moja tu kutoka kituoni kwa miguu.

✔ Ukubwa: SQM 200
✔ Eneo lina maendeleo tayari (miradi inaendelea)
✔ Linafaa sana kwa ujenzi wa nyumba za makazi

💰 Bei: Milioni 4.3 tu

Hii ni nafasi nzuri ya kuanza kujenga nyumba yako ya kwanza na kuanza maisha ya kitajiri.

📞 Wahi sasa! +255688412890.