Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Buswelu, Mwanza (3604 sqm)

Buswelu, Mwanza
1 month ago
Sh. 55,000,000
Aina
Kiwanja (Residential/Commercial)
Ukubwa
3604 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA BUSWELU
-ukubwa wa kiwanja ni sqm 3,604
-kiwanja kimeshapimwa tayari
-matumizi ni makazi & biashara
-kipo Km 1 kutoka barabara ya lami
-bei Tsh Milioni 55
☎️ 0743 220097







