Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Chanika, Tungini, Dar Es Salaam (5678 sqm)
Chanika, Dar Es Salaam
7 hours ago
Sh. 450,000,000
Aina
Kiwanja (Residential/Commercial)
Ukubwa
5678 SQM
Barabara ya Karibu
200m
Huduma na Sifa
(Fence) Ukuta
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na BarabaraIncludes Two Rental Houses
Includes Two Car Garage
Maelezo
ENEO LA EKARI 1.16 LINAUZWA CHANIKA, TUNGINI*
๐Chanika, Tungini
Distance: Eneo lipo 200 meters kutoka Barabara kubwa ya lami
Eneo limezungurushiwa ukuta na geti.
Ndani ya eneo Kuna nyumba 2 za wapangaji pamoja na garage ya magari mawili.
Eneo linafaa kwa Makazi, Light Industry, Shamba la ufugaji n.k
Plot size Sqms 5,678
Document: Un Surveyed
Bei shilingi milioni 450 maongezi yapo
Contact 0712531657
0789731695















