Tafuta

Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Dodoma Mjini (525 sqm)

video thumbnail
Dodoma, Dodoma
2 months ago
Sh. 13,200,000

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA DODOMA MJINI

Sifa za kiwanja:
📍Kiwanja kina hati
📍Km 5 kutoka Dodoma mjini
📍Km 1 kutoka Sgr Dodoma
📍Kinafaa kwa makazi na Biashara
📍Miundombinu yote imefika kama vile maji,umeme na Barabara
📍Majirani tayari wapo
📍Ukubwa ni sqm 525
📍 Bei mil 13,200,000/=

Kwenda site ni bure na kila siku

Mawasiliano: 0768 333 054