Tafuta

Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Iyumbu, Dodoma

Iyumbu, Dodoma
3 days ago
Sh. 28,000,000

Maelezo

Plot for sale mtaa wa mwinyi
Jilani na shule ya msingi
Iyumbu au secondary
Au afisi ya kata iyumbu
Zahanati ya iyumbu
Kiwanja Cha makazi na biashala
Jenga fremu za biashala
Au lodge apartments
Nk
Ducomenti hatimiliki
Bei ml 28 TU
Km 2 mpaka lamii
Au sheli iyumbu
Bila kusahau ni balabala
Itakayo pitisha daladala
Kuelekea mjini maana
Stendi ya dala dala ni
Kwa mbele TU
Kalibu tukuhudumie 🔥🔥

dalali dodoma  mhina

dalali_dodoma_mhina

@dalali_dodoma_mhina

View Listings

Matangazo mengine Iyumbu, Dodoma

dalali dodoma  mhina