Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Mbezi Malamaba, Dar Es Salaam (500 sqm)

Aina
Kiwanja (Residential/Commercial)
Ukubwa
500 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡✨ KIWANJA KINAUZWA MBEZI MALAMBA – FURSA KUBWA YA UWEKEZAJI ✨🏡
Kiwanja hiki kinauzwa kwa bei nzuri sana, kikiwa katika eneo la kimkakati na linalofikika kwa urahisi 📍
📐 Ukubwa: mita za mraba 500
💵 Bei: TZS Milioni 58 (maongezi yapo)
📍 Kipo kipande kimoja tu kutoka barabara ya lami
🌿 Eneo ni tambarare kabisa na linafikika bila shida yoyote.
🏠 Ndani ya kiwanja kuna nyumba mbili
Unaweza:
- Kuzifanyia karabati na kuishi
- Kupangisha na kuanza kupata mapato 💰
- Kuzibomoa na kujenga mradi wako mpya
🏢 Eneo linafaa kwa:
- Makazi binafsi
- Apartments za uwekezaji
- Lodge / Guest house
- Biashara nyingine za maendeleo
💧⚡ Huduma zote muhimu zipo
Barabara, maji na umeme vinapatikana.
🔥 Hii ni fursa nzuri sana kwa mwekezaji au mtu anayehitaji eneo la makazi ya kifahari.
🤝 Service charge: 30,000/=
📞 +255688412890
Karibu ndugu mteja tufanye uwekezaji.
