Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Mkolani, Mwanza (3583 sqm)

Mkolani, Mwanza
26 days ago
Sh. 60,000,000
Aina
Kiwanja (Residential/Commercial)
Ukubwa
3583 SQM
Barabara ya Karibu
4km
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA CHA 4 KUTOKA LAMI KINAUZWA MKOLANI
-ukubwa wa kiwanja ni sqm 3,583
-kina hati miliki ya wizara
-matumizi ni makazi na biashara
-panafaa kwa apartment, kanisa
-bei Milioni 60
☎️ 0743220097















