Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam (1300 sqm)

Aina
Kiwanja (Residential/Commercial)
Ukubwa
1300 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO 🔥
📍 Location: Tabata Segerea Mwisho – Viwanja vya Benki
🛣 Umbali: Takribani inchi 2 kutoka barabara ya lami
📐 Ukubwa: Square Meter 1,300
📄 Hati: Hati Miliki ya Wizara ya Ardhi
✅ Kinafaa kwa:
• Ujenzi wa makazi binafsi
• Apartments za kupangisha
• Nyumba za ibada
• Biashara mbalimbali
💰 Bei: Milioni 300 (mazungumzo yapo kidogo kwa mteja wa kweli)
📞 Karibu sana tajiri uje uwekeze eneo zuri lenye fursa kubwa.




















