Tafuta

Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Tegeta Block D, Dar Es Salaam (7325 sqm)

video thumbnail
Sh. 1,500,000,000

Maelezo

TEGETA BLOCK D – BAHARI BEACH
Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 7,325 kinapatikana Bahari Beach, mbele ya daraja jipya linalounganisha Bahari Beach na Kunduchi. Ni mita 300 tu kutoka barabara kuu, eneo zuri kwa makazi au uwekezaji wa kibiashara.
Bei: TSh Bilioni 1.5 (mazungumzo yapo).

Matangazo mengine Tegeta, Dar es Salaam