Viwanja (Residential/Commercial) vinauzwa Bagamoyo Kaole, Pwani (400 sqm)
Bagamoyo, Pwani
4 hours ago
Sh. 4,800,000
Aina
Kiwanja (Residential/Commercial)
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
4km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na BarabaraKaribu na BichiKaribia Chuo Cha Kaole
Karibia Kiromo Zoo
Maelezo
New Project Bagamoyo Kaole
•Viwanja Vimepimwa, karibia na Chuo cha kaole na Kiromo zoo
•Sqm 1 =12000 kwa makazi
,15000 kwa Makazi na Biashara
•Mita 20 kwa 20 Mil 4.8 Makazi, kwa vya biashara na Makazi Mil 6
•Unalipa nusu inayobaki Miezi 6
•Km 4.5 kupitia Zinga
•Km 4 kupitia Bagamoyo Mjini
•km 1 kutoka Baharini
• Tambarale barabara ni Lami
• huduma za kijamii zipo
• Kwenda site kila Siku gharama ni 20,000
Tupigie





