Viwanja (Residential/Commercial) vinauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

Aina
Kiwanja (Residential/Commercial)
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
Viwanja vizuri sanaa vikubwa mkeka kabisa akuna kuchimba hapo bei milioni 37 maongezi kwa milioni 35 maongezi mbio zako tu ndugu mteja
Viwanja vinaukubwa wa square 564 kwa 466 kwa 575 kwa 518 kwa 467 kwa 533
Viwanja vinafaa kujenga apartments za biashara au makazi binafsi or kanisa shule logg nk:
Viwanja vipo mbezi mwisho karbu na stend ya mkoa km 1.boda 1000
Viwanja vimepiwa vinadocomert za mauziano kutoka widhara ya aridhi na serikali za mtaa
Wai ndugu mteja viwanja vya karbu na mjini avikai
PIGA SIMU TWENDE SAITI
O719969102










