Tafuta
-
-

Salon inauzwa Sinza Kumekucha, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 30,000,000

Maelezo

Saluni (Nyumba Stand Alone) Inauzwa
Mahali: Sinza Kumekucha

Bei: Milioni 30 (Mazungumzo)

☑️Inatizama Lami
☑️Unaachiwa Kila Kitu
☑️Kodi: 600,000 Kwa Mwezi (Malipo Miezi 6)
☑️Ina Vyumba 3, Kimoja Master Sebule & Choo
☑️Full Ac & Decoration
☑️Imepambwa Vizuri Sana Na Tayari Ina Brand
☑️Ni Fursa Nzuri Kwa Wanaoanza Na Kuendelea, Kufungua Branch

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate.

Call & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle

Matangazo yanayofanana Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam

Frame inauzwa Sinza Kumekucha, Dar Es Salaam

Sh. 30,000,000

  • Air Conditioning

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Duka linauzwa Sinza Makaburini, Dar Es Salaam

Sh. 8,500,000/month

  • CCTV

  • Public Toilet

Duka linauzwa Sinza Makaburini, Dar Es Salaam

Sh. 8,500,000/month

  • CCTV

  • Karibu na Barabara

  • Public Toilet

Duka linauzwa Sinza Palestina, Dar Es Salaam

Sh. 2,800,000/month

  • Karibu na Barabara ya Lami

Duka linauzwa Sinza Mori, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000/month

  • Parking Space

  • Air Conditioning

  • Heater

Salon inauzwa Sinza, Dar Es Salaam

Sh. 6,000,000/month

  • Karibu na Maduka