Tafuta

Salon inauzwa Mwananyamala, Dar Es Salaam

Sh. 15,000,000

Maelezo

Saluni Nzuri Sana Inauzwa
Mahali: Mwananyamala

Bei: Milioni 15 (Mazungumzo)

☑️Inatizama Lami
☑️Unaachiwa Kila Kitu, Kasoro Ac
☑️Kodi: 750k Kwa Mwezi (Inaisha Mwezi Wa 9)
☑️Umeme Na Maji Unajitegemea
☑️Heater, Paved Parking
☑️Ni Fursa Nzuri Kwa Wanaoanza Na Kuendeleza, Kufungua Branch

Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate.

Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa @dalalimastertz

Call & Whatsapp:
Call:

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle

Master Mijengo

dalalimastertz

@dalalimastertz

View Listings

Matangazo mengine Mwananyamala, Dar Es Salaam

Salon inauzwa Mwananyamala, Dar Es Salaam

Sh. 15,000,000

For SaleFurnishedsalon
Mwananyamala, Dar Es Salaam
Duka linauzwa Mwananyamala, Dar Es Salaam

Sh. 9,000,000

For Saleshop
Mwananyamala, Dar Es Salaam
Master Mijengo