Shamba linauzwa Kigamboni Mwasonge, Dar Es Salaam (15 acre)

Maelezo
Eneo linauzwa
Lipo KIGAMBONI MWASONGA
Ukubwa Hekari 15
Km 2 kutoka mwasonga Center
Mita 600 kutoka lami
Lina Nyumba Tatu
Mabanda ya Kuku
Mabanda ya Mbuzi
Kisima cha Maji
Solar
Bei 350M kwa eneo lote
Call; 0716279427 tukupeleke Site









