Shamba linauzwa Kiimbwanindi, Mkuranga, Pwani acre 140

Mkuranga, Pwani
18 hours ago
Sh. 2,000,000,000
Maelezo
SHAMBA EKARI 140, TZS. 2 BILIONI, KIIMBWANINDI,MKURANGA.
Lipo kilomita 75 tu kutoka Dar.,
Ni mbele ya MKURANGA, kilomita 32 kielekea MTWARA, Na kilomita 2 tu kutika Barabara ya LAMI.
Njia nzuri hadi Shamba,
Pia kuna Nyumba ya Vyumba 4 vya kulala.
Mazao ya Mikorosho.
Hapa panaweza kufaa pia kwa Shughuli nyingine za Uwekezaji wa kimkakati.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591548
________________zw







