Tafuta

Shamba linauzwa Kiromo, Pwani (20 acre)

video thumbnail
Kiromo, Pwani
20 days ago
Sh. 200,000,000

Aina

Shamba

Farm for sale in Kiromo

Ukubwa

20 ACRE

Barabara ya Karibu

5km — Bagamoyo Road

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara
Warehouse
Poultry House
Cattle Barn
Fish Ponds
Timber Trees

Maelezo

SHAMBA LILILOENDELEZWA,EKA 20,TSHS.200 MILIONI,KIROMO-BAGAMOYO.

Lipo umbali wa kilomita 63 kutoka
Dar es salaam Mjini.
Na kiilomita 5 tu kitoka Barabara ya Bagamoyo.

HIVYO NI MJINI KABISA.

Ndani yake kuna:
●Nyumba 2 kila moja inajitegemea.
●Go-down/Ghala la Kuhifadhi Mazao
●Mabanda ya Kufugia Ng'ombe
●Mabanda ya Kufugia Kuku
●Mabwawa Makubwa (2) ya
Kufugia Samaki (Na Samaki Hai wapo)
●Miti ya Mbao pamoja na Miti ya Matunda kadhaa.

Wahi chukua hili uendeleze Kilimo na
Ufugaji sehemu ambayo
Mazingira,Miundo-mbinu tayari ipo,
Kubwa zaidi ni jirani na Dar Mjini au Bagamoyo.

___________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548
____________________/mpg

Matangazo yanayofanana Kiromo, Pwani

Shamba linauzwa Kiromo, Pwani (20 acre)

Sh. 200,000,000

  • Karibu na Barabara

  • Bustani