Shamba linauzwa Mtakuja Fukayosi, Pwani (21 acre)








Fukayosi, Pwani
1 day ago
Sh. 3,500,000/acre
Aina
Shamba
Vyumba
3
Ukubwa
21 ACRE
Barabara ya Karibu
8km
Huduma na Sifa
Maelezo
SHAMBA LA EKARI 21 LINAUZWA FUKAYOSI BAGAMOYO
__
Location Mtakuja fukayosi
__
Shamba lina mimea kama miembe ,milimau, michungwa Nanasi na mipera ya kisasa
__
Shamba lipo umbali wa kilometa 8 kutoka lami
__
Barabara ipo safi na inapitika muda wote
__
Shamba lote limezungulushiwa uzio wa michongoma
__
Kuna nyumba ya vyumba 3 vya mlinzi
Pia majirani wapo
__
Kila ekari 1 inauzwa shilingi 3.5 milioni
__
Site visit ni kila siku unapopata muda tu piga simu utapelekwa
__
Service charge 30,000 /=
__
Call and WhatsApp +255713928950
#dalali_bagamoyo
#bagamoyoproperty
#realestatetanzania


