Tafuta

Shamba linauzwa Nduruma, Arusha acre 5

video thumbnail
Nduruma, Arusha
22 days ago
Sh. 15,000,000/acre

Ukubwa

5 ACRE

Barabara ya Karibu

10km — East Africa Road

Maelezo

šŸ“¢ SHAMBA KUBWA LINA UZWA - NDURUMA, ARUSHA! 🌳
Je, unatafuta fursa nzuri ya uwekezaji kwenye ardhi? Tunauza shamba lenye ukubwa wa HEKA TANO (5) kwa pamoja (lote).
SIFA ZA SHAMBA:
Eneo: Nduruma, Arusha.
Umbali: Kilomita 10 tu kutoka barabara kuu ya lami (East Africa Road).
Ukubwa: Heka 5 (Shamba zima).
BEI:
Tsh 15,000,000 kwa kila Heka moja.
Mazungumzo yapo kwa mnunuzi makini.
Hii ni nafasi ya kipekee kwa ajili ya kilimo cha kisasa, kufuga, au matumizi mengine ya kibiashara.
MAWASILIANO:
Kwa maelezo zaidi au kwenda kuliona shamba, piga simu/WhatsApp:
šŸ“ž 0627 779 772
šŸ‘¤ InnoPlot – Uwekezaji wenye uhakika.
#arusha #geita # shinyanga #mwanza #mbeya

Matangazo mengine Nduruma, Arusha

Shamba linauzwa Nduruma, Arusha (20 acre)

Sh. 12,000,000/acre

For Sale20 acreInstallment
Shamba linauzwa Nduruma, Arusha (10 acre)

Sh. 12,000,000/acre

For Sale10 acreInstallment
Shamba linauzwa Nduruma, Arusha (10 acre)

Sh. 12,000,000/acre

For Sale10 acreInstallment
Shamba linauzwa Nduruma, Arusha acre 5

Sh. 15,000,000/acre

For Sale5 acreNegotiable
Shamba linauzwa Nduruma, Arusha (5 acre)

Sh. 250,000,000

For Sale5 acreNegotiable
Shamba linauzwa Nduruma, Arusha (5 acre)

Sh. 250,000,000

For Sale5 acreNegotiable
Shamba linauzwa Nduruma, Arusha (1.25 acre)

Sh. 19,000,000

For Sale1.25 acre