Shamba linauzwa Vikindu, Pwani acre 30

Vikindu, Pwani
2 hours ago
Sh. 850,000,000
Ukubwa
30 ACRE
Huduma na Sifa
Maelezo
*Shamba la Ekari 30 linauzwa Vikindu, Mkuranga*MARERA*
🤙
📍 Vikindu, Mkuranga
❇️Shamba lina vitu vifuatavyo:
âś…Mabwawa 10 yenye samaki
âś…Tractor 1
âś…Minazi
âś…Miembe
✅Ng’ombe wa maziwa 7
âś…Ng'ombe Dume kubwa 1
âś…Ng'ombe wa kawaida 5
âś…
âś…kuna nyumba 3 za kisasa
âś…
âś…Document: Shamba lina Hati miliki ya wizara yenye miaka 99
*Bei ni TSH milion 850
