Duka linauzwa Kijitonyama, Dar Es Salaam

Kijitonyama, Dar Es Salaam
7 hours ago
Sh. 50,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Mall Kali Sana Inauzwa
Mahali: Kijitonyama
Bei: Milioni 50 (Mazungumzo)
☑️Inatizama Lami
☑️Unaachiwa Kila Kitu
☑️Kodi: 800k (Inaisha Mwezi Wa 10)
☑️Full Ac, Parking
☑️Ni Fursa Nzuri Sana Kwa Wanaoanza Na Kuendeleza, Wanaouza Jumla Na Kuagiza Kutoka Nje Ya Nchi.
Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)
Call & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle

