Tafuta

Duka linauzwa Pugu, Dar Es Salaam (2600 sqm)

video thumbnail
Sh. 300,000,000

Huduma na Sifa

Maelezo

MADUKA 11, KIWANJA SQM.2,600, TZS.300 MILIONI,PUGU/ILALA.

Hii ni Biashara endelevu na ukitaka kuongeza wigo nafasi bado unayo kubwa tu.

Maduka yapo mbele na yapo Kimkakati wa Biashara.
Nyuma unaweza kujenga Makazi au Kitega uchumi kingine kama Hoteli/Lodge, Maofisi,Karakana nk

Umiliki ji HATI (Title Deed) ya Wizara.

WAHI MALI ADIMU HIZI.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_______________mpg

Matangazo mengine Pugu, Dar Es Salaam