Duka linauzwa Sinza Kijiweni, Dar Es Salaam
Sinza, Dar Es Salaam
8 hours ago
Sh. 10,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
🚨 FURSA YA BIASHARA – SINZA KIJIWENI 🚨
👗 DUKA LA NGUO ZA KIKE + POCHI LINAPATIKANA KWA MAUZO!
📍 Sinza Kijiweni
💰 Bei: TSh 10,000,000 — maongezi yapo 🤝
🏪 Kodi ya fremu: TSh 450,000/mwezi
📅 Kodi imelipwa hadi 31/08/2026
✨ Biashara ipo tayari kuendelea
🔥 Eneo lenye mzunguko wa wateja
👜 Inafaa kwa mtu anayetaka kuingia kwenye biashara bila kuanza kutoka zero.
📞
⚡ Wahi sasa — fursa kama hii haikai!















