Shule inauzwa Kibaha Maili Moja, Pwani (500 sqm)









Aina
Shule
Vyumba
4
Bafu
1
Ukubwa
500 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Maelezo
Nyumba pamoja na shule ya watoto
na frem moja ya biashara inauzwa million 150 maongezi yapo ipo kibaha maili moja
0759128747 0624436503
✅️vyumba jumla vinne kimoja master
✅️sebule
✅️dinning
✅️jiko choo cha public Bafu
✅️shule ina madarasa mawili ofisi 1
✅️Kuna jiko la nje ️vyoo vya shule vipo 3 store 1
✅️umeme maji tiles jipsam
✅️ukubwa wa kiwanja SQM 500
✅️hati ya serikali za mtaa
✅️umiliki wa mtu mmoja
✅️kutoka lami km 1 mpaka saite matajili
✅️Service chager 30k















