Villa zinauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Aina
Villa
Ukubwa
2000 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Hizi Villa zipo Ndani ya compound jumla zipo 9.
3 ni za Vyumba 3-3 na 6 ni za Vyumba 2-2.
Apartment Kali sana na ulinzi wa uhakika
Zipo mbezi bich chini upande wa baharin Unaingilia kwa Zena
Na zote Zina Wapangaji.
Bei hiyo USD ML 1.5 maongezi kidogo yapo.
Huyu ni Ng’ombe wa maziwa Yuko tiyari kama Karibuni sana wawekezaji .
(hncymbzbic)
Eneo lote lina sqm 2,000
Contact 0712531657
0789731695




















