Tafuta

Viwanja vinauzwa Buyuni, Kigamboni, Dar Es Salaam (711 sqm)

video thumbnail
Sh. 10,000/sqm

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kigamboni

Ukubwa

711 SQM

Barabara ya Karibu

2.5km

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Maelezo

๐ŸŽ™๏ธ DIASPORA, HUU NDIO MUDA WA KUWEKEZA BUYUNI KIGAMBONI!

Unaishi nje ya Tanzania na unatafuta uwekezaji salama wenye thamani inayoongezeka kila siku?

Karibu Buyuni, Kigamboni eneo linalokua kwa kasi na lenye fursa kubwa za uwekezaji wa ardhi.

Kwa sasa vimebakia viwanja vya ukubwa wa sqm 711 na sqm 616 pekee.

๐Ÿ“ Location
โœ… Km 40 kutoka Ferry kigamboni
โœ… Km 2.5 kutoka Baharini
โœ… Km 2.5 kutoka Barabara Kuu

โœ… Mpango wa Cash (Malipo ndani ya miezi 6)
Bei ni Tsh 10,000 kwa sqm

* Kiwanja cha sqm 711 = Tsh 7,110,000
* Kiwanja cha sqm 616 = Tsh 6,160,000

โœ… Mpango wa Installment (Malipo ndani ya miezi 12)
Bei ni Tsh 12,000 kwa sqm

* Kiwanja cha sqm 711 = Tsh 8,532,000
* Kiwanja cha sqm 616 = Tsh 7,392,000

Ikiwa unaishi diaspora, huu ni wakati sahihi wa kuwekeza nyumbani. Buyuni Kigamboni ni eneo linalokua kwa kasi na lenye matarajio makubwa ya maendeleo ya baadaye.

Usisubiri hadi viwanja viishe au bei zipande zaidi. Chukua hatua leo na ujihakikishie umiliki wa ardhi katika moja ya maeneo yenye fursa kubwa za uwekezaji Kigamboni.

๐Ÿ“ž Piga simu au WhatsApp: 0761 444 564

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Viwanja vinauzwa Kigamboni Kibugumo, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 35,000,000

For Sale400 sqm
  • Karibu na Barabara ya Lami

Viwanja vinauzwa Kigamboni Dege, Dar Es Salaam (608 sqm)

Sh. 18,240,000

For Sale608 sqmInstallment
  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Kigamboni Dege, Dar Es Salaam (608 sqm)

Sh. 18,240,000

For Sale608 sqmInstallment
  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 30,000/sqm

For SaleInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Hati

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Grand Estate, Dar Es Salaam (514 sqm)

Sh. 12,850,000

For Sale514 sqmInstallment
  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Darajani, Kigamboni, Dar Es Salaam (860 sqm)

Sh. 160,000,000

For Sale860 sqmNegotiable
  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Viwanja vinauzwa Kigamboni Kisarawe 2, Dar Es Salaam (225 sqm)

Sh. 10,000,000

For Sale225 sqmNegotiable
  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Funcity, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 10,500,000

For Sale300 sqm
  • Karibu na Barabara