Tafuta
-
-

Viwanja vinauzwa Chamwino, Dodoma sqm 400

 media -1
media -1
Sh. 12,000 per sqm

Ukubwa

400 SQM

Barabara ya Karibu

5km — Chilonwa - Msanga Road

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Karibu na Shule
Karibu na Hospitali
Karibu na Barabara
Ardhi Iliyopimwa

Maelezo

MRADI MPYA DODOMA-CHAMWINO HIDDEN TREASURE🌆

‼️SIFA ZA MRADI ‼️
-Mradi umepimwa 💯
-5km kutoka roundabout ya chamwino ikulu
-Huduma za kijamii zinapatikana(Umeme,maji,shule za primary na secondary msanga,hospitali,chuo )
-Mradi umepakana na ikulu Saccoss
-Miundombinu salama
-Mradi umepakana na barabara kuu ya kwenda chilonwa,Msanga

📐Ukubwa wa viwanja:
Kuanzia SQM 400 (20 x 20) na kuendelea

💰 MALIPO:
Tunamalipo ya fedha taslimu(CASH) na malipo kwa awamu INSTALLMENT) mpaka miezi 20

💸*CASH*:
1 sqm = Tsh 12,000
💡 Mfano wa malipo Taslimu
(3 miezi):SQM 400
400 x 12,000=4,800,000
4,800,000/3=1,600,000
✅Lipa 1,600,000/= kila mwezi ndani ya miezi mitatu

💸*INSTALLMENT*
1 SQM = Tsh 15,000
💡 Mfano wa malipo kwa awamu
(20 miezi)SQM 400
400 x 15,000=6,000,000
6,000,000/20=300,000
✅Lipa 300,000/= kila mwezi ndani ya miezo 20 Tu

✨*Kwa nini uwekeze hapa*
🔹Eneo linaendelea kukua kwa kasi
🔹Eneo zuri kwa makazi na biashara
🔹Thamani inaongezeka kila siku

REJAA REAL ESTATE,WE HELP YOU INVEST🤝