Tafuta

Viwanja vinauzwa Dar Es Salaam

video thumbnail
Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 10,000/sqm

Maelezo

⚠️ KAMA UNAOGOPA KUTAPELIWA KWENYE UNUNUZI WA KIWANJA, SOMA HII KWANZA!

"Mteja mwenye akili hanunui kwa kuamini maneno... ananunua kwa kuona ukweli."

Kama bado una wasiwasi, usinunue kwa maneno matupu... hakikisha unaona kila kitu kwa macho yako mwenyewe.

✅ Tunakupeleka SITE kuona eneo halisi kabla ya kufanya maamuzi. ✅ Tuna OFISI rasmi Mwananyamala Komakoma, Jannat Plaza Floor 1. ✅ Tunatoa MIKATABA ya mauzo kwa usalama wako. ✅ Viwanja vyetu vimepimwa na vina nyaraka zinazotambulika. ✅ Timu yetu ipo tayari kukuhudumia hatua kwa hatua mpaka umiliki kiwanja chako.

🏡 Kwa Site To Site Real Estate, uwazi ndio msingi wa biashara yetu. Karibu ujionee mwenyewe kwa nini wateja wengi wanaendelea kutuamini kila siku.

🏡 MIRADI YETU INAYOPATIKANA

📍 Kigamboni Kimbiji 💰 20,000/sqm Cash 💰 25,000/sqm Installment

📍 Buyuni 💰 10,000/sqm Cash 💰 12,000/sqm Installment

📍 Puna 💰 10,000/sqm Cash 💰 12,000/sqm Installment

📍 Beach Plot 💰 40,000/sqm Cash 💰 45,000/sqm Installment

✨ Maeneo yanafaa kwa makazi na uwekezaji. ✨ Barabara zinapatikana. ✨ Umeme na huduma za kijamii zipo karibu. ✨ Fursa nzuri ya kujenga nyumba, apartments, biashara na miradi mingine ya maendeleo.

📍 Ofisi: Mwananyamala Komakoma, Jannat Plaza Floor 1 📞 0620 808 115

SITE TO SITE REAL ESTATE "Tunakupeleka Site, Tunakupa Uhakika.
" #SiteToSiteRealEstate #ViwanjaDarEsSalaam #KigamboniKimbiji #Buyuni #Puna BeachPlot UwekezajiWaArdhi ViwanjaVimepimwa RealEstateTanzania"

Matangazo yanayofanana Dar Es Salaam

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 30,000/sqm

For SaleInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Hati

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Tabata Bonyokwa Macedonia, Dar Es Salaam (850 sqm)

Sh. 55,000,000

For Sale850 sqmNegotiable
  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale1,000 sqmNegotiable
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale1,000 sqmNegotiable
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale1,000 sqmNegotiable
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Kiwanja kinauzwa Kimara Baruti, Dar Es Salaam (900 sqm)

Sh. 85,000,000

For Sale900 sqmNegotiable
    Kiwanja kinauzwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

    Sh. 120,000,000

    For Sale1,000 sqmNegotiable
    • Karibu na Barabara ya Lami

    • Karibu na Barabara

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach Africana, Dar Es Salaam (400 sqm)

    Sh. 60,000,000

    For Sale400 sqmNegotiable
    • Karibu na Barabara ya Lami

    • Karibu na Barabara

    Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam

    Sh. 80,000,000

    For Sale
    • Uzio

    • Ardhi Tambarare

    • Karibu na Barabara ya Lami

    Kiwanja kinauzwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

    Sh. 120,000,000

    For Sale1,000 sqmNegotiable
    • Karibu na Barabara ya Lami

    • Karibu na Barabara

    Kiwanja kinauzwa Makongo Changanyikeni, Dar Es Salaam (475 sqm)

    Sh. 290,000,000

    For Sale475 sqmNegotiable
    • Umeme

    • Maji

    • Parking Space

    Kiwanja kinauzwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam (678 sqm)

    Sh. 55,000,000

    For Sale678 sqm
    • Site Visit Bure